Maelezo Kamili
W-KING T8II ni speaker inayofaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini, picnic, safari na sherehe mbalimbali. Inatoa nguvu ya hadi 96W Peak, ikiwa na Surround Stereo na Bass Boost kwa muziki wenye sauti safi na bass yenye msukumo.
Unaweza kuunganisha simu, tablet au laptop kupitia Bluetooth 5.4, AUX au USB. Pia ina TWS, inayokuwezesha kuunganisha speaker mbili za W-KING T8II kwa sauti pana zaidi ya stereo. Speaker hii huchajiwa kupitia Type-C na inaweza pia kutumika kama power bank kuchaji simu kupitia USB.
Sifa Muhimu
Nguvu ya sauti: 96W Peak
Bluetooth 5.4
Bass Boost na Surround Stereo
USB Flash Playback
AUX Input
TWS—unganisha speaker mbili
Type-C Fast Charging
Inaweza kuchaji simu kama power bank
Mpini imara wa kubebea
Inapatikana katika design na rangi mbalimbali
Vilivyomo Kwenye Box
W-KING T8II Speaker
Type-C charging cable
AUX cable ya 3.5mm
User manual