NE-Y239 6-in-1 Wireless Earbuds – 3 Pairs in 1 Charging Case

In Stock (6)

TSh 69,000

TSh 89,000

Pata pairs 3 za wireless earbuds kwenye set moja! NE-Y239 inakupa styles tofauti za earbuds kwa matumizi tofauti—muziki, kazi, mazoezi au matumizi ya kawaida. Inakuja na charging case moja inayobeba set nzima.

Quantity:
In Stock (6)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
NE-Y239 6-in-1 Wireless Earbuds ni set maalum inayokupa pairs tatu tofauti za earbuds ndani ya package moja. Unaweza kubadilisha style kulingana na mazingira au namna unavyopenda kuvaa.

Set hii inajumuisha aina za Clip-on, Semi-in-Ear na Sleep/In-Ear earbuds, hivyo inakupa flexibility zaidi kuliko earbuds za kawaida zenye pair moja tu.

Kwa mujibu wa maelezo ya model hii, imeundwa kwa matumizi kama music, work, sports na sleep, huku packaging yake ikisisitiza Hi-Fi Audio, comfortable wearing na touch design.

Features
🎧 3 Pairs of Earbuds katika set moja
🔄 3 tofauti za wearing style
🎵 Hi-Fi Audio
👆 Touch Control Design
😌 Comfortable Wearing
🔋 Charging Case
🏃 Inafaa kwa matumizi ya kila siku, kazi na mazoezi
🎒 Rahisi kubeba set nzima sehemu moja
Unachopata kwenye Package

1 × NE-Y239 Wireless Earbuds Set
3 × Pairs of Earbuds
1 × Charging Case
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

104 Products
  • Express Delivery Ndani Ya Dar
    Unapata Ndani Ya Dakika 120
  • Delivery Mikoani Express
    Ndani Ya Saa 72
  • Muda wa Delivery
    Kuanzia Saa 2AM Mpaka 12PM
Share:
Seller's Products