Soundcore C40i Open-Ear Clip-On Earbuds

In Stock (17)

TSh 245,000

TSh 285,000

Soundcore C40i ni premium open-ear clip-on earbuds zenye flexible design inayokaa kwenye sikio bila kuingia ndani ya ear canal. Zina 12 × 17mm titanium-coated drivers, Bluetooth 5.4, 2-Mic AI Clear Calls, Multipoint Connection, IPX4, na battery hadi 7H kwa charge moja / 21H pamoja na charging case.

Quantity:
In Stock (17)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia muziki na calls kwa comfort ya muda mrefu ukiwa na Soundcore C40i by Anker. Tofauti na earbuds za kawaida zinazoingia ndani ya sikio, C40i hutumia open-ear clip-on design inayoshikilia sikio kwa upole na kuacha ear canal wazi, hivyo unaweza kusikiliza audio huku ukiendelea kutambua mazingira yanayokuzunguka.

Joint yake imetengenezwa kwa 0.5mm memory titanium wire pamoja na soft TPU, inayosaidia earbuds kubadilika kulingana na umbo la sikio na kukaa vizuri wakati wa matumizi. Soundcore pia inaeleza design hii imejaribiwa kustahimili zaidi ya bends 1,000.

Kwa upande wa sound, C40i ina 12mm × 17mm titanium-coated drivers zinazolenga kutoa audio yenye nguvu na details nzuri. Pia ina 3D Sound kwa listening experience iliyo immersive zaidi.

Kwa calls, earbuds zina microphones 2 pamoja na AI algorithm inayosaidia kufanya sauti yako isikike vizuri zaidi kwenye mazungumzo. Bluetooth 5.4 pamoja na Multipoint Connection inakuwezesha kuunganisha vifaa viwili na kubadilisha kati ya simu na laptop kwa urahisi.

Sifa Muhimu
✅ Model: A3331
✅ Open-Ear Clip-On Design
✅ 0.5mm Memory Titanium Flexible Joint
✅ 12 × 17mm Titanium-Coated Drivers
✅ 3D Sound
✅ 2 Microphones + AI Clear Calls
✅ Bluetooth 5.4
✅ Multipoint Connection
✅ Physical Button Controls
✅ IPX4 Water Resistance
✅ Hadi 7H kwa charge moja
✅ Hadi 21H pamoja na charging case
✅ Fast Charging: dakika 10 = hadi 2H
✅ Uzito takribani 5.8g kwa earbud.
Battery

Kwa matumizi ya kawaida, Soundcore inaorodhesha hadi 7 hours za playtime kwa earbuds na hadi 21 hours kwa kutumia charging case. Ukiwa na haraka, dakika 10 za kuchaji zinaweza kutoa hadi masaa 2 ya matumizi.

Inafaa Kwa

C40i ni nzuri kwa matumizi ya kila siku, office, calls, kutembea, gym, safari na kwa mtu ambaye hapendi earbuds zinazoingia ndani kabisa ya sikio.
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

73 Products
Share:
Seller's Products