Type-C to Type-C Cable 2M – 5A Braided Fast Charging Cable

In Stock (75)

TSh 15,000

TSh 20,000

Jipatie Type-C to Type-C Cable yenye urefu wa mita 2, inayosaidia Fast Charging hadi 120W. Imetengenezwa kwa braided material imara kwa matumizi ya muda mrefu na inafaa kwa simu, tablet, laptop, power bank na vifaa vingine vinavyotumia USB Type-C.

Quantity:
In Stock (75)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Unatafuta cable ndefu, imara na yenye uwezo mkubwa wa kuchaji? Hii Type-C to Type-C Cable 2M imeundwa kwa ajili ya charging ya haraka na matumizi ya kila siku.

Ina uwezo wa Fast Charging hadi 120W, huku braided design yake ikisaidia kuifanya iwe imara dhidi ya kukunjwa na matumizi ya mara kwa mara.

Sifa za Bidhaa:

⚡ Fast Charging hadi 120W
🔌 Type-C to Type-C
📏 Urefu wa Mita 2
⚡ Support hadi 5A
🛡️ Braided design yenye uimara mkubwa
🔄 Inasaidia charging pamoja na data transfer
💪 Connector zenye reinforced protection
📱 Inafaa kwa simu, tablets, laptops, power banks na vifaa vingine vya USB-C
🎒 Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini au safarini

Kumbuka: Ili kupata charging ya hadi 120W, charger pamoja na kifaa chako lazima viwe vina-support kiwango hicho cha charging.
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

73 Products
Share:
Seller's Products