Furahia muziki, calls na shughuli zako za kila siku bila kuziba masikio ukiwa na Soundcore AeroFit by Anker. Open-ear design yake huacha ear canal wazi, hivyo unaweza kuendelea kusikia mazingira yanayokuzunguka wakati unasikiliza audio.
AeroFit ina flexible ear hooks pamoja na material laini inayolenga kutoa fit salama na comfortable. Hii inafanya iwe nzuri kwa kutembea, mazoezi, shughuli za nje na matumizi ya muda mrefu.
Kwa upande wa sound, AeroFit hutumia 14mm dynamic drivers zenye titanium-coated domes kwa balanced sound. Frequency response yake rasmi ni 20Hz–20kHz.
Kwa calls, ina microphones 4 pamoja na AI algorithm kwa mazungumzo yaliyo clear zaidi. Pia ina Multipoint Connection, inayokuwezesha kuunganisha vifaa viwili kwa wakati mmoja.
Sifa Muhimu
✅ Model A3872
✅ Open-Ear Design
✅ Flexible Ear Hooks
✅ 14mm Dynamic Drivers
✅ Titanium-Coated Domes
✅ 4 Microphones + AI Clear Calls
✅ Bluetooth 5.3
✅ Multipoint Connection
✅ Touch Controls
✅ Soundcore App Support
✅ Customizable EQ
✅ 3D Surround kupitia Soundcore App
✅ IPX7 Waterproof Earbuds
✅ SweatGuard™ Technology
✅ Hadi 11H kwa charge moja
✅ Hadi 42H pamoja na charging case
✅ Fast Charge: dakika 10 = hadi 4H
✅ Bluetooth range hadi takribani 10m.
Battery
Kwa volume ya karibu 50%, Soundcore inaeleza AeroFit inaweza kutoa takribani 11 hours za music playback kwa charge moja, na hadi 42 hours pamoja na charging case. Fast charging ya dakika 10 inaweza kutoa hadi 4 hours za matumizi.
Water Resistance
Earbuds zina IPX7 waterproof rating pamoja na SweatGuard™, hivyo zinafaa kwa mazoezi, sweat na matumizi ya outdoor. Soundcore hata hivyo haisemi zitumike kwa swimming au diving.
Inafaa Kwa
🏃 Running & mazoezi
🏋️ Gym
🚶 Kutembea
📞 Calls
🎵 Muziki
🚌 Safari
🏢 Ofisini
🌤️ Outdoor activities