Maelezo Kamili
Furahia muziki, podcasts, movie na calls zako kwa urahisi ukiwa na Soundcore K20i. Semi-in-ear design yake haitegemei silicone ear tips, hivyo inatoa fit nyepesi na comfortable kwa matumizi ya kila siku.
K20i ina 13mm dynamic drivers pamoja na Soundcore BassUp Technology kwa sauti yenye clarity na bass nzuri. Battery yake inatoa hadi masaa 6 kwa charge moja na hadi masaa 36 pamoja na charging case. Dakika 10 tu za fast charging zinaweza kutoa hadi masaa 2 zaidi ya matumizi.
Sifa Muhimu:
✅ 13mm Dynamic Drivers
✅ BassUp Technology
✅ Semi-In-Ear Comfortable Design
✅ Hadi 6 Hours kwa charge moja
✅ Hadi 36 Hours pamoja na charging case
✅ Fast Charging: dakika 10 = hadi 2 Hours
✅ Bluetooth 5.3
✅ 2 Microphones with AI Noise Reduction
✅ AI-Enhanced Clear Calls
✅ 22 Preset EQ Modes
✅ Customizable EQ kupitia Soundcore App
✅ Game Mode
✅ Touch Controls
✅ Single Earbud Mode
✅ IPX5 Water Resistance
✅ Uzito wa takribani 3.3g kwa earbud
Muhimu: K20i haina Active Noise Cancelling (ANC). Inatumia AI/ENC kusaidia kufanya sauti ya calls iwe clear, lakini hiyo si ANC ya kusikiliza muziki.