Soundcore Liberty 5 Adaptive Noise Cancelling Earbuds by Anker

In Stock (16)

TSh 390,000

TSh 430,000

Soundcore Liberty 5 ni premium true wireless earbuds zenye Adaptive ANC 3.0, 9.2mm Wool-Paper Diaphragm Drivers, Dolby Audio, Hi-Res Wireless Audio, LDAC, Bluetooth 5.4 na 6 microphones zenye AI kwa calls zilizo clear. Battery yake inadumu hadi 12H kwa charge moja na hadi 48H pamoja na charging case ukiwa ANC OFF.

Quantity:
In Stock (16)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia muziki, movie, calls na safari zako kwa ubora wa juu ukiwa na Soundcore Liberty 5 by Anker. Earbuds hizi zimeundwa kutoa sound yenye details nyingi, bass nzuri na noise cancelling inayojibadilisha kulingana na mazingira yako.

Teknolojia ya Real-Time Adaptive ANC 3.0 hurekebisha noise cancelling kila takribani sekunde 0.3, huku acoustic cavity yake ikiwa imeundwa kusaidia kupunguza hasa sauti za watu zinazokuzunguka. Soundcore inasema Liberty 5 inaweza kutoa voice-noise reduction mara mbili zaidi ukilinganisha na Liberty 4 NC katika vipimo vyao.

Kwa upande wa sound, Liberty 5 ina 9.2mm wool-paper diaphragm drivers pamoja na bass tubes. Ina support ya LDAC na Hi-Res Wireless Audio, huku Dolby Audio ikiongeza immersive listening experience kwenye muziki na entertainment.

Sifa Muhimu
✅ Adaptive ANC 3.0
✅ ANC hurekebishwa real-time kila 0.3 sec
✅ 9.2mm Wool-Paper Diaphragm Drivers
✅ Hi-Res Wireless Audio
✅ LDAC Support
✅ Dolby Audio
✅ 6 Microphones + AI
✅ Wind-Resistant Call Algorithm
✅ Bluetooth 5.4
✅ SBC / AAC / LDAC codecs
✅ Multipoint Connection
✅ Google Fast Pair
✅ HearID 4.0 Personalized EQ
✅ Transparency Mode
✅ Stem Controls
✅ Camera Remote kupitia stem control
✅ Six sizes of ear tips
✅ IP55 Water & Dust Resistance
✅ Uzito takribani 4.6g kwa earbud
Battery

Liberty 5 inaweza kutoa hadi 12 hours kwa earbuds na hadi 48 hours pamoja na case ukiwa ANC OFF. Ukiwa na ANC ON, Soundcore inaonyesha hadi 8H kwa earbuds na 32H pamoja na case. Fast charging ya dakika 10 inaweza kuongeza hadi 5 hours za matumizi.

Vilivyomo Kwenye Box
Soundcore Liberty 5 Earbuds
Charging Case
Ear Tips: XXS / XS / S / M / L / XL
USB-C Charging Cable
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

73 Products
Share:
Seller's Products