Unatafuta TV nzuri, ya kisasa na yenye bei nafuu?Solarmax 43” Smart TV Frameless ndiyo chaguo sahihi kwa nyumba yako.
Inakuja na muonekano wa frameless (bezelless design) unaofanya screen ionekane kubwa zaidi na ya kisasa 🔥
Ikiwa na mfumo wa Smart TV, unaweza kufurahia:
✔️ YouTube
✔️ Netflix
✔️ Prime Video
✔️ Apps mbalimbali kupitia internet
Picha zake ni Full HD (FHD) – clear, sharp na rangi zinavutia sana 👌
⚙️ FEATURES
✅ Screen size: 43 inches
✅ Full HD Display
✅ Smart TV (Apps zote muhimu)
✅ WiFi built-in
✅ HDMI & USB ports
✅ Frameless design (muonekano wa kisasa)
✅ Inafaa kwa: Nyumbani, office, guest house
💥 KWANINI UNUNUE HII?
✔️ Bei nafuu ukilinganisha na ubora
✔️ Inafaa kwa matumizi ya kila siku (movies, YouTube, football)
✔️ Muonekano wa kisasa sana
✔️ Rahisi kutumia