Maelezo Kamili
Furahia muziki, movie, calls na safari kwa kiwango cha juu ukiwa na Soundcore Liberty 4 Pro by Anker. Mfumo wake wa 7-sensor precise noise cancelling unatumia sound sensors pamoja na barometric pressure sensor, huku Adaptive ANC ikirekebisha noise cancelling mara kwa mara kulingana na mazingira yanayokuzunguka.
Sound yake inatumia dual drivers za 10.5mm + 4.6mm, pamoja na enhanced ACAA acoustic architecture na digital crossover kwa bass yenye nguvu na details nzuri. Pia ina support ya LDAC/Hi-Res Wireless Audio kwenye vifaa vinavyoendana nayo.
Kitu kinachoifanya Liberty 4 Pro kuwa tofauti zaidi ni Smart Charging Case yenye display na touch bar. Unaweza kutumia case kurekebisha kiwango cha noise cancelling kwa kuswipe bila kulazimika kufungua app kwenye simu.
Sifa Muhimu
✅ Adaptive ANC 3.0
✅ 7-Sensor Precise Noise Cancelling
✅ Dual Dynamic Drivers 10.5mm + 4.6mm
✅ Hi-Res Wireless Audio
✅ LDAC Support
✅ Smart Case with Display & Touch Bar
✅ 10H Playtime kwa charge moja
✅ Hadi 40H Total Playtime pamoja na case
✅ Fast Charging: dakika 5 = hadi 4H
✅ 6-Mic AI Clear Calls
✅ Bluetooth 5.3
✅ Multipoint Connection
✅ HearID 4.0 Custom EQ
✅ 360° Spatial Audio + Dynamic Head Tracking
✅ IPX5 Water Resistance
✅ Squeeze & Slide Stem Controls
✅ Uzito takribani 5.5g kwa earbud
Kilichomo Kwenye Box
Soundcore Liberty 4 Pro Earbuds
Charging Case
Ear Tips: XXS / XS / S / M / L / XL
USB-C Charging Cable