Soundcore Space One Adaptive Noise Cancelling Headphones by Anker

In Stock (12)

TSh 260,000

TSh 300,000

Soundcore Space One by Anker ni premium wireless over-ear headphones zenye Adaptive Active Noise Cancelling, 40mm Dynamic Drivers, Hi-Res Wireless Audio, LDAC, Bluetooth 5.3 na Multipoint Connection. Battery yake inadumu hadi 40H ANC ikiwa ON na hadi 55H ANC ikiwa OFF.

Quantity:
In Stock (12)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Furahia muziki, movie, calls na safari zako ukiwa na Soundcore Space One. Headphones hizi zimeundwa kwa mtu anayehitaji sound yenye ubora, comfort ya muda mrefu na uwezo mkubwa wa kupunguza kelele zinazozunguka.

Teknolojia ya Adaptive Noise Cancelling hugundua kelele za mazingira na kujirekebisha ili kutoa noise reduction inayofaa. Soundcore inaeleza kwamba Space One inaweza kupunguza kelele hadi 98% katika mazingira ya majaribio, pamoja na kutoa voice reduction yenye nguvu zaidi ukilinganisha na Soundcore Q30.

Sifa Muhimu:

✅ Adaptive Active Noise Cancelling
✅ Noise Reduction hadi 98%*
✅ 40mm Dynamic Drivers
✅ Hi-Res Wireless Audio
✅ LDAC Support
✅ Hadi 40 Hours – ANC ON
✅ Hadi 55 Hours – ANC OFF
✅ Fast Charging: dakika 5 = hadi masaa 4
✅ Bluetooth 5.3
✅ Multipoint Connection
✅ 3 Microphones with AI Enhancement
✅ 5-Level Transparency Mode
✅ HearID / Customized EQ
✅ Soundcore App Support
✅ 8° Rotating Ear Cups
✅ Foldable Design
✅ AUX 3.5mm Support
✅ USB-C Charging
✅ Uzito takribani 265g
Vilivyomo Kwenye Box
Soundcore Space One Headphones
Carry Pouch
USB-C Charging Cable
3.5mm AUX Cable
Quick Start Guide
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

73 Products
Share:
Seller's Products