Soundcore Q11i ni wireless over-ear headphones zenye Hi-Res Audio, BassUp, hadi masaa 60 ya matumizi, Fast Charging na Multipoint Connection. Zimetengenezwa kwa comfort na sauti yenye bass nzuri kwa muziki, movies na matumizi ya kila siku.
(1)
Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi
