PXN V3 Pro Gaming Racing Wheel with Pedals – PC, PS3, PS4, Xbox & Nintendo Switch

In Stock (17)

TSh 260,000

TSh 300,000

Ingiza experience ya racing game kwenye level nyingine ukiwa na PXN V3 Pro Racing Wheel. Inakuja na steering wheel pamoja na pedal set, ina vibration feedback, 180° steering rotation, paddle shifters na compatibility na PC, PS3, PS4, Xbox One, Xbox Series X|S pamoja na Nintendo Switch.

Quantity:
In Stock (17)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
PXN V3 Pro ni gaming racing wheel inayofaa kwa mtu anayetaka kuanza kutumia steering wheel kwenye racing games badala ya kutumia controller ya kawaida.

Steering wheel yake ina 180° rotation pamoja na built-in vibration feedback, hivyo inatoa hisia bora zaidi wakati wa kuendesha kwenye racing games. Ina paddle shifters kwenye steering wheel na pedal unit yenye accelerator na brake.

PXN V3 Pro ina USB wired connection na inafanya kazi na platforms mbalimbali, zikiwemo Windows PC, PS3, PS4, Xbox One, Xbox Series X|S na Nintendo Switch. Kwa PC, official manual inaonyesha support ya Windows 7, 8, 10 na 11.

Kwa PS4 na Xbox One/Series X|S, connection inaweza kuhitaji compatible original controller kuunganishwa kupitia guidance port ya steering wheel.

Key Features
Brand: PXN
Model: V3 Pro
Product Type: Gaming Racing Wheel
Connection: Wired USB
Steering Rotation: 180°
Wheel Diameter: Approx. 260mm
Vibration Feedback: Yes
Paddle Shifters: Yes
Accelerator Pedal: Yes
Brake Pedal: Yes
Steering Sensitivity: Adjustable
PC Modes: X-Input / D-Input
Mounting: Suction cups / clamp support
Colour: Orange & Black version shown
Product Weight: Approx. 1.5KG
Compatible Platforms

PC / PS3 / PS4 / Xbox One / Xbox Series X|S / Nintendo Switch

What’s in the Box
PXN V3 Pro Steering Wheel
Accelerator & Brake Pedal Set
C-Type Mounting Clamp
Connection/Data Cables
User Manual
Important Note

PXN V3 Pro ina vibration feedback, lakini haina true force feedback. Hii ni nzuri zaidi kwa beginners, casual racing na mtu anayetaka affordable racing setup.
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

104 Products
  • Express Delivery Ndani Ya Dar
    Unapata Ndani Ya Dakika 120
  • Delivery Mikoani Express
    Ndani Ya Saa 72
  • Muda wa Delivery
    Kuanzia Saa 2AM Mpaka 12PM
Share:
Seller's Products