TCL 75 Inch 4K HDR Google TV ni chaguo bora kwa mtu anayehitaji TV kubwa yenye muonekano wa kisasa na experience nzuri ya kutazama Movies, Series, Mpira, YouTube na content nyingine za online.
Ikiwa na 4K HDR, TV hii inatoa picha zenye clarity nzuri, rangi zenye nguvu na details nzuri zaidi kwenye mwanga na giza. AiPQ Processor husaidia kuboresha ubora wa picha ili upate viewing experience iliyo bora zaidi kila wakati.
Pia ina Dynamic Color Enhancement inayosaidia kufanya rangi zionekane vizuri zaidi, pamoja na Dolby Audio kwa sauti safi na yenye nguvu wakati wa kutazama movie, kusikiliza music au kuangalia mpira.
Kwa kuwa ni Google TV, unaweza kufikia apps mbalimbali za entertainment kwa urahisi. Pia ina Google Cast, hivyo unaweza kutuma content kutoka kwenye simu kwenda kwenye TV. Vilevile, TV hii ina support ya Apple AirPlay na Apple Home, hivyo ni rahisi kuunganisha na vifaa vingine vinavyooana.
Hii ni TV inayofaa kwa nyumba, office, hotel, lounge au biashara yoyote inayohitaji screen kubwa na yenye muonekano premium.
Key Features
Brand: TCL
Screen Size: 75 Inch
Operating System: Google TV
Resolution: 4K HDR
AiPQ Processor
Dynamic Color Enhancement
Dolby Audio
HDMI
Google Cast
Works with Apple AirPlay
Works with Apple Home
Muonekano mkubwa na wa kisasa
Inafaa kwa Movies, Sports, Series na YouTube
Specifications
Specification Details
Brand TCL
Screen Size 75 Inch
TV Type Smart TV
Operating System Google TV
Resolution 4K HDR
Processor AiPQ Processor
Picture Technology Dynamic Color Enhancement
Audio Dolby Audio
Connectivity HDMI
Casting Google Cast
Apple Support Apple AirPlay, Apple Home
Colour Black
What’s in the Box
TCL 75 Inch Google TV
Remote Control
Power Cable
User Manual
TV Stands