Hisense HT SATURN 4.1.2CH 720W Home Theatre System

In Stock (11)

TSh 1,190,000

TSh 1,300,000

Hisense HT SATURN ni mfumo wa kisasa wa Home Theatre wenye 4.1.2 Channel, satellite speakers 4, wireless subwoofer na surround sound yenye nguvu. Inafaa kwa movies, music, gaming na entertainment ya nyumbani.

Quantity:
In Stock (11)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
Fanya sebule yako iwe kama cinema ukiwa na Hisense HT SATURN Home Theatre System.

Mfumo huu unakuja na satellite speakers nne pamoja na wireless subwoofer, zinazokupa sauti inayosambaa vizuri ndani ya chumba na bass yenye nguvu.

Teknolojia za Dolby Atmos na DTS:X huongeza ubora wa surround sound, hivyo sauti za movie, muziki na games zinasikika kwa uhalisia zaidi.

Unaweza kuiunganisha kwa urahisi na TV pamoja na vifaa vingine kupitia HDMI, Bluetooth na Optical connection.

Key Features
Brand: Hisense
Model: HT SATURN
Sound System: 4.1.2 Channel
Satellite Speakers: 4
Wireless Subwoofer
Dolby Atmos
DTS:X
Bluetooth Connectivity
HDMI Connectivity
Optical Input
Remote Control
Surround Sound
Powerful Bass
Modern & Premium Design
Inafaa kwa TV, Movies, Music na Gaming
Dimensions

Satellite Speaker:
122 × 122 × 197 mm

Subwoofer:
240 × 240 × 390 mm

Control Unit:
118 × 118 × 27 mm

What’s in the Box

Hisense HT SATURN System, satellite speakers 4, wireless subwoofer, control unit, remote control pamoja na accessories zake za kuunganisha.
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

104 Products
  • Express Delivery Ndani Ya Dar
    Unapata Ndani Ya Dakika 120
  • Delivery Mikoani Express
    Ndani Ya Saa 72
  • Muda wa Delivery
    Kuanzia Saa 2AM Mpaka 12PM
Share:
Seller's Products