10,000mAh Magnetic Wireless Power Bank with Built-in Cables

In Stock (29)

TSh 45,000

TSh 60,000

Power Bank ya 10,000mAh yenye Magnetic Wireless Charging, built-in Type-C na Lightning cables pamoja na stand ya nyuma. Ni compact, portable na rahisi kutumia ukiwa nyumbani, kazini au safarini.

Quantity:
In Stock (29)
  • Description
  • Information
  • Reviews (0)
10,000mAh Magnetic Wireless Power Bank ni power bank ya kisasa iliyotengenezwa kwa ajili ya urahisi wa kuchaji simu bila kubeba vifaa vingi.

Ina mfumo wa Magnetic Wireless Charging unaokuwezesha kuiambatanisha nyuma ya simu inayooana na magnetic charging na kuendelea kutumia simu kwa urahisi.

Pia ina built-in Type-C cable na built-in Lightning cable, hivyo huhitaji kubeba cable za ziada kila unapokuwa safarini.

Kwa upande wa nyuma ina built-in stand ambayo unaweza kutumia kusimamisha simu wakati wa kuangalia video, kufanya video call au kutumia simu mezani.

Muundo wake ni compact na portable, hivyo ni rahisi kubeba kwenye begi, mfukoni au popote unapoenda.

Key Features:

Battery Capacity: 10,000mAh
Magnetic Wireless Charging
Built-in Type-C Cable
Built-in Lightning Cable
Built-in Phone Stand
Compact & Portable Design
Easy to Carry
Suitable for Daily Use & Travel
Color: Orange

Specifications:

Product Type: Power Bank
Capacity: 10,000mAh
Charging Method: Magnetic Wireless & Cable
Built-in Cables: Type-C & Lightning
Phone Stand: Yes
Color: Orange

Package Includes:
1 × 10,000mAh Magnetic Wireless Power Bank
  • From Tanzania
  • About Since 2026

Wauzaji Wa Bidhaa Mbalimbali Zenye Ubora Wa Hali Ya Juu Kwa Bei Nafuu. Na Kusafirisha Mikoa Yote Tanzania Kwa Uharaka Zaidi

Sold By:
Machinga Digital

(1)

104 Products
  • Express Delivery Ndani Ya Dar
    Unapata Ndani Ya Dakika 120
  • Delivery Mikoani Express
    Ndani Ya Saa 72
  • Muda wa Delivery
    Kuanzia Saa 2AM Mpaka 12PM
Share:
Seller's Products