TCL 55 Inch QLED Google TV inakuletea entertainment ya kiwango cha juu kupitia teknolojia ya QLED, inayotumia Quantum Dot kutoa zaidi ya bilioni moja ya shades za rangi na kuongeza uhalisia wa picha.
Ikiwa na 4K UHD pamoja na HDR10+, TV hii hutoa details nzuri zaidi katika maeneo yenye mwanga na giza, huku AiPQ Processor ikichakata picha kupitia teknolojia za Ai Color, Ai Clarity, Ai HDR, Ai Contrast na Ai Motion.
Kwa Movies na Series, Dolby Vision husaidia kutoa picha yenye dynamic range nzuri zaidi, huku Dolby Atmos ikitoa sauti yenye spatial na immersive experience. TCL pia ina DTS Virtual:X kwenye QLED families hizi kwa sound experience pana zaidi.
Kwa gamers, Game Master, ALLM na HDMI 2.1 huwezesha TV kujirekebisha kwa matumizi ya gaming kwenye vifaa vinavyooana.
Ikiwa na Google TV, unaweza kupata Movies, Shows, YouTube na apps nyingine katika interface moja, pamoja na voice control kupitia Google Assistant/Hey Google.
Key Features
55 Inch QLED Display
4K UHD
Google TV
Quantum Dot QLED Technology
AiPQ Processor
HDR10+
Dolby Vision
Dolby Atmos
DTS audio technology
Game Master
HDMI 2.1
Multiple Eye Care
Slim & Uni-body / Bezel-less Design
Hey Google
Apple AirPlay & Apple Home support as indicated on the product packaging
Product Specifications
Specification Details
Brand TCL
Screen Size 55 Inch
TV Type QLED Smart TV
Resolution 4K UHD
Smart Platform Google TV
Display Technology QLED / Quantum Dot
Processor AiPQ Processor
HDR HDR10+
Picture Dolby Vision
Audio Dolby Atmos
Gaming Game Master
Connectivity HDMI 2.1
Voice Assistant Google Assistant / Hey Google
Design Slim, Bezel-less
Colour Black